Warsha ya Wadau kuhusu utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena inayohusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa,majukumu na wajibu wa wadau katika utekelezaji wa Itifaki.
27 - 28 Septemba, 2016 Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine,Morogoro-Tanzania.
Release date | 27/09/2016 |
---|
SIKU YA KWANZA: 27 SEPTEMBA, 2016 |
||
MUDA |
SHUGHULI |
MHUSIKA |
UFUNGUZI |
||
2.30 – 3:00 |
Kujiandikisha |
Wote |
3:00 – 3:15 |
Kujitambulisha |
Wote |
3:15 – 3:25 |
Maelezo mafupi ya utangulizi |
Mkurugenzi wa Mazingira – Ofisi ya Makamu wa Rais |
3:25 – 3:40 |
Hotuba ya Ufunguzi |
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais |
3:40 – 3:50 |
Picha ya Pamoja |
Wote |
3:50 - 4:20 |
CHAI |
WOTE |
UWASILISHAJI WA MADA |
||
4:20 – 4.50 |
Utekelezaji wa Mkataba wa Hifadhi ya Bioanuai na Itifaki ya Cartagena kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa mazingira (The Cartagena Protocol on Biosafety to the Convention on Biological Diversity) |
T. Chali |
4:50 - 5:50 |
Taarifa ya tatu ya Utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena Kuhusu Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa na masuala muhimu yaliyojitokeza |
Dr. E. Mneney |
5:50 – 7:00 |
Majadiliano |
WOTE |
7:00 – 8:00 |
CHAKULA |
WOTE |
8:00 – 8:45 |
Majukumu na Wajibu wa Wadau Katika Utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena nchini |
O. Kamukuru |
8:45 – 10:00 |
Majadiliano |
WOTE |
10:00 – 10:30 |
CHAI/KAHAWA |
WOTE |
MWISHO WA SIKU YA KWANZA |
||
SIKU YA PILI: 28 SEPTEMBA 2016 |
||
3:00 -3:30 |
Kujiandikisha & Muhtasari wa siku ya kwanza |
Sekretarieti |
3:30 – 4:00 |
Sheria ya Usimamizi wa Mazingira na Kanuni kuhusu viumbe ambavyo vinasaba vyake vimefanyiwa mabadiliko ya kijenetiki. |
Isakwisa. L |
4:00 - 4:30 |
Marekebisho ya Kanuni za Matumizi salama ya Bioteknolojia ya Kisasa |
Isakwisa. L |
4:30 – 5:00 |
Chai |
WOTE |
5.00 – 5.30 |
Mkataba wa Ziada Kuhusu Uwajibikaji Kisheria na Fidia (Nagoya - Kuala Lumpur Supplementary Protocol on Liability and Redress) wa mwaka 2010 na hatua iliyofikiwa. |
Isakwisa. L |
5:30 – 7:00 |
Majadiliano |
WOTE |
7:00 |
Kufunga Warsha |
WOTE |
7:30 |
CHAKULA |
WOTE |
MWISHO WA WARSHA |