Warsha ya Wadau kuhusu utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena

Warsha ya Wadau kuhusu utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena inayohusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya kisasa,majukumu na wajibu wa wadau katika utekelezaji wa Itifaki.

27 - 28 Septemba, 2016 Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine,Morogoro-Tanzania.

Release date 27/09/2016

 

 SIKU YA KWANZA:  27  SEPTEMBA, 2016

MUDA

SHUGHULI

MHUSIKA

 UFUNGUZI

2.30 – 3:00 

Kujiandikisha

Wote

3:00 – 3:15

Kujitambulisha

Wote

3:15 – 3:25

Maelezo mafupi ya utangulizi

Mkurugenzi  wa Mazingira – Ofisi ya Makamu wa Rais

3:25 – 3:40

Hotuba ya Ufunguzi

Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais

3:40 – 3:50

Picha ya Pamoja

Wote

3:50 -  4:20

CHAI

WOTE

 UWASILISHAJI WA MADA

4:20 – 4.50

Utekelezaji wa  Mkataba wa  Hifadhi ya Bioanuai na Itifaki ya Cartagena  kuhusu matumizi salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa mazingira (The Cartagena Protocol on Biosafety to the Convention on Biological Diversity) 

T. Chali

4:50 - 5:50

Taarifa ya tatu ya Utekelezaji wa Itifaki ya  Cartagena Kuhusu Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa na masuala muhimu yaliyojitokeza

Dr. E.  Mneney

5:50 – 7:00

Majadiliano

WOTE

7:00 – 8:00

CHAKULA

WOTE

8:00 – 8:45

Majukumu na Wajibu wa Wadau Katika Utekelezaji wa Itifaki ya Cartagena  nchini

O. Kamukuru

8:45 – 10:00

Majadiliano

WOTE

10:00 – 10:30

CHAI/KAHAWA

WOTE

 MWISHO WA SIKU YA KWANZA

SIKU YA PILI:   28 SEPTEMBA   2016

3:00 -3:30

Kujiandikisha & Muhtasari wa siku ya kwanza

Sekretarieti

3:30 – 4:00

Sheria ya Usimamizi wa Mazingira na Kanuni kuhusu viumbe ambavyo vinasaba vyake vimefanyiwa mabadiliko ya kijenetiki.

Isakwisa.  L

4:00 - 4:30

Marekebisho ya Kanuni za Matumizi salama ya Bioteknolojia ya Kisasa

Isakwisa.  L

4:30 – 5:00

Chai

WOTE

5.00 – 5.30

Mkataba wa Ziada Kuhusu Uwajibikaji Kisheria na Fidia (Nagoya - Kuala Lumpur Supplementary Protocol on Liability and Redress) wa mwaka 2010 na hatua iliyofikiwa.

Isakwisa. L

5:30 – 7:00

Majadiliano

WOTE

7:00

Kufunga Warsha

WOTE

7:30

CHAKULA

WOTE

MWISHO WA WARSHA