This site uses cookies in order to function as expected. By continuing, you are agreeing to our cookie policy.
Agree and close

Topic Information upload

01 Feb 2016 08:10:26, mmaliwanga

Wadau bado naona kuna uzito kidogo katika kutuma taarifa. Mpaka leo nimeona moja tu ya Ally tangu tukutane tarehe 20.

kama kuna matatizo tunaweza kushare.

[No messages]